TANZANIA-TAIFA STARS.
![]() |
| KIKOSI CHA TANZANIA-TAIFA STARS . |
![]() |
| MCHEZAJI WA TAIFA STARS AKIMTOKA MCHEZAJI WA SOMALIA HAPA. |
![]() |
| STARIKA WA TIMU YA TAIFASTARS AKIONDOKA NAMPIRA . |
![]() |
| MCHEZAJI WATAIFA STARS AKIRUKA KICHWA MPIRA WA JUU ZAIDI AKITOA PASS YA JUU. |
![]() |
| KAPOMBE AKITOA PASS HAPA. |
![]() |
| JOHN BOCCO AKIWATOKA WACHEZAJI WA SOMALIA WAWILI HAPO. |
![]() |
| MRISHO KHALFAN NGASSA AKIPOKEA PASS YA JOHN BOCCO. |
![]() |
| HATARI LANGONI MWA SOMALIA.... |
![]() |
| MRISHO KHALFAN NGASSA AKISHANGILIA GOLI LAKE HAPA. |
![]() |
| MCHEZAJI WATIMU YA TAIFA WAKIMPONGEZA HAPO. |
| NGASSA ALIKUA ANAFURAHA KWELI HAPO. |
| MASHABIKI WA TIMU YA STARS WAKISHANGILIA KWA RAHA ZAO. |
![]() |
| MCHEZAJI WA TAIFA STARS AKIWATOKA WACHEZAJI WA SOMALI WOTE WAWILI |
![]() |
| JOHN BOCCO AKIMBURUZA MCHEZAJI WA SOMALIA. |
![]() |
| JOHN BOCCO YUPO KATIKA HATARI LANGONI MWA SOMALIA. |
![]() |
| HAYA SASA GOLI LA JOHN BOCCO AKISHANGILIA NA WACHEZAJI WENZAKE HAPO. |
| AKISHANGILIA KWA MARA YA MWISHO JOHN BOCCO. |
![]() |
| DAKIKA ZAHATARI MCHEZAJI MWENYE JEZI NO.5 AKIJARIBU KWENDA KUFUNGA GOLI LA 8 |
| MPIRA UMEKWISHA HAPA. |
| SHABIKI WATAIFA STARS ANAMADOIDO KWELI KWELI. |















No comments:
Post a Comment