![]() |
| KIKOSI CHA TANZANIA-TAIFA STARS. |
![]() |
| KIKOSI CHA RWANDA. |
![]() |
| KIPA JUMA KASEJA AKISALIMIANA NA NIYONZIMA. |
![]() |
| KIPA JUMA KASEJA AKIUDAKA MPIRA KATIKA LANGONI MWAKE. |
![]() |
| MASHABIKI WA TAIFA STARS WAKIMPONGEZA KUFUNGA BAO LA PILI. |
![]() |
| WATU WALIO KUJA KUISHANGILIA TAIFA STARS. |
![]() |
| MCHEZAJI WA TAIFA ALIFANYIWA MADHAMBI. |
![]() |
| ATHUMANI IDDAKIUPIJA MPIRA KWA KICHWA ULIO CHINI. |
![]() |
| AMIR KIEMBA ANAMTOKA MCHEZAJI WA RWANDA KWA CHENGA. |
![]() |
| KOCHA WA RWANDA AKICHANGAYIKIWA KWA MAGOLI YALIO FUNGWA NA TAIFA STARS. |
![]() |
| JOHN BOCCO AKIGOMBANIA MPIRA NA WA CHEZAJI WA RWANDA. |
![]() |
| AMIR KIEMBA AKISHANGILIA WAKATI NGASA AKIWA NYUMA YAKE. |
![]() |
| GOLI ALIYE FUNGA AMIR KIEMBA BAO LA KWANZA-1-0. |
![]() |
| MWINYI KAZI MOTO AKIMTOKA MCHEZAJI WA RWANDA. |
![]() |
| JOHN BOCCCO AKIACHIA SHUTI HAPA. |
![]() |
| GOLI KIPA WA RWANDA AKIRUKA JUUU KUOKOA HATARI LANGONI MWAKE. |
![]() |
| MWINYI KAZI MOTO AKIWATOKA DAKIKA ZIKIWA ZAMWISHO HAPA90. |

















No comments:
Post a Comment