TIMU YA YOUNG AFRICAN SPORT CLUB LEO IME WAFUNGA AFRCAN LYON KATIKA UWANJA WA TAIFA,MSHAMBULIA JERRY TEGETE LEO KATIKA UWANJA WA TAIFA KAFUNGA MAWILI PEKEEYAKE WAKATI YONG AFRICAN IKIUWA 4-0....

katika hii picha za taifa stars wakiwa wakijiandaa na mazoezi katika uwanja uliopo dar-es-salaam,wachezaji wote wapo MRISHO KHALFAN NGASSA,MBWANA ALLY SAMATA,THOMAS ULIMWENGU,na wengine.

Taarifa ya michezo kutoka Tanzania Dar-es-salaam,leo Young African Sport Club ime endelea na ubabe wake wa magoli hatari sana katika u wanja wa Dar-es-salaam young african sport club imeshinda magoli 3-1leo hii,magoli hayo ya kifungwa na Jerry Tegete na Simon Msuva,tazameni picha hapo chini........